Tuesday, September 11, 2012

KIKAO CHA TATHIMINI NDANI YA RAIN BOW HOTEL - CHAFANA SANA

BAADA  YA  SHUGHULI   YA  HARUSI   KAMATI   MAKINI, NDOGO ,YENYE DAMU CHANGA  CHINI  YA    MWENYEKITI   SHABANI   SASILO    IMEKUTANA  RainBow Hotel NA  KUFANYA  TATHIMINI   YA  SHEREHE  ILIYOFANYIKA  19 /8/2012